![Tena](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/17/f135693dd30b497baecd1838d2a9ee89_464_464.jpg)
Tena Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Konde Boy Call Me Number One
Bakhresa
Cough
Mmmh Mmmh Mmmmh
Kwanza Nimekuwa Nimemature Mapenzi Nayajua Nje Ndani
Ya Walimwengu Si Unayajua Bhasi Tuombe Dua
Mbona Litakuwa Apangalo Manani
And I Just Wanna Make You My Baby Eeh
And Marry You Today Coz I Love You Everyday Forever And Never
(Uuuh)
Ndugu Jamaa Na Marafiki Wapo And Im Ready Kula Kiapo
Siwezi Tabasamu Usipo Nilipo My Boo
(Chorus)
Tena Nishapenda
(Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
Eti Mimi Huyu Huyu Wakupenda Tena
Nishapenda (Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
B Booooy
(Verse Ii)
Yeah In A Life Kuna Kupanda Nakushuka Na Kuteleza Si Kuanguka
Ma Ex Mtabaki Kunikumbuka Maana Round Hii Sijakurupuka
Nina Uhakika Pili Kwake Nimefika Tatu Yeye Ndo Anaepika Mimi Napakua
Yeah Wapo Wanaodhani Umeniroga Ukinipa Chakula Unanipa Na Mboga
Mahaba Yana Miminika Tunaogaa My Baby Iiiiih
Maa I Just Wanna Make You My Baby Eeh
And Marry You Today Coz I Love You Everyday Forever And Never
(Uuuh)
Ndugu Jamaa Na Marafiki Wapo And Im Ready Kula Kiapo
Siwezi Tabasamu Usipo Nilipo My Boo
(Chorus)
Tena Nishapenda
(Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
Eti Mimi Huyu Huyu Wakupenda Tena
Nishapenda (Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
B Booooy
Tena Nishapenda
(Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
Eti Mimi Huyu Huyu Wakupenda Tena
Nishapenda (Im Inlove)
Nimependa Tena
Ndo Nishapenda
Ooh Sound