
Yamenishinda Lyrics
- Genre:Soundtrack
- Year of Release:2023
Lyrics
Yamenishinda - Sanakary
...
Hali imenishinda Sina budi mi niondoke mengi nimejifunza
Mana nitakonda machafu mabaya yote ni yake yeye ameniponza
Unadhani yeye ni wako kumbe kamati mko mlolongo
Wanapita ni kama soko na atakudanganya aseme uongo
(Ati ukilia ntalia
Mimi nimekuzimia
Kumbe penzi lake bandia
Nyi Muko kama mia
Na tena ukimfumania
anasema anajutia
na wewe unamsamehea
alafu ye anajirudia
Tena basi yamenishinda
Basi yamenishinda*3)chorus
Hata moyo unapofosi sipo...ipo siku utaogopa kifo
Kunguru sio mtakatifu..hawezi kuuacha uchafu
Na ukimpa moyo anautesa..hivi kwanini
Anakuliza na unakesha..yote ya nini
Mana ataka ufe kwa mapresha..siamini
Kila siku visavisa..u firauni
Chorus