![Nalia ft. Drazzer](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/09/2675102173324d7a8947e73b0b8f8573_464_464.jpg)
Nalia ft. Drazzer Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh mmh
Aaaah
Nlishindwa kulizuia chozii
Ooh chozii
Choziii
Chozi langu lilidondoka
Macho yalinikoboka
Nlijua sikufurahia
Akanipa huzuni nkalia
(Aaaaa)
Huu moyo wangu nlimwachia akaona si lolote
(Aaaaa)
Hana furaha kwangu ndio akaamua kunionyesha yote
(Aaaaa)
Hakumbuki fadhila zangu akipita ananipaka tope
(Aaaaa)
Basi moja langu tu hakuna alonambia asante
Ooooh ooh ooooh naliaa
Ooooh ooh oooooh naliaaa
Ooooh ooh ooooh naliaa aa
Ooooh ooh ooooh naliaa aa
Unaweza kuwa na sura ya kuvutia (Aaaah)
Ghafla akaja koro na sura bandia (Aaah)
Mpenzi wako kwa makini anakugongea
Chini kwa chini anenepa
Unaweza sema kwa pesa umemkamatia (Aaah)
Ila tu kwa fedha mahitaji yanatimia (Aaaah)
Anapata kuishi na maisha kusongea
Kumbe kwa chini anasepa
Mapenzi sio sura nzuri ama kukidhi yake mahitaji
Muhonge kwa majumba na magari nae amuhonge yule hana mtaji
Hivi mapenzi ni kama vazi kuchagua litakupa kazi
Na ukishalivaa halikupendezi
Hakumbuki fadhila zako akipita anakupaka tope
Hata moja lako tu hakuna alokwambia asante
Ooooh ooh ooooh naliaa
Ooooh ooh oooooh naliaaa
Ooooh ooh ooooh naliaa aa
Ooooh ooh ooooh naliaa aa