Tenda Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Yeeh
Ukisema Ndio,
Mwanadamu nani atakaye pinga
Uki bariki
Mwanadamu nani atakae ziwiya
Uki simama
Ni nani yule atakaye simama
Una jibu kwa wakati wako
Una bariki unaye penda
Una wajili wale wenye Ali mbaya
Bila malipo una warudisha tamaa
Walio chini una wa pandisha daraja
Walio gizani una leta Nuru
Kwaiyo sina mashaka nawe
ninajuwa siku yangu itafika
Iwe usiku ata mchana
Ninajuwa siku iyo itafika
Mhm
Unapo ponya wengine usinipite
Mhm
Unapo zuru wengine usinipite
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Ulivyo okowa Danieli
kwenye pango la simba
Vipi ile story ya wana israeli
Ku ondoka Mistri
Pharaos alijiona
Alijiona akazani anaweza
Kumbe ni mwanadamu
Wa kawaida ajuwi
Utakavyo panga akuna wa ku panguwa
Uki bariki akuna waku zinguwa
Uki funguawa akuna waku ziwiya
Ukisema Ndio nani ata pinga Kwaiyo sina mashaka nawe
ninajuwa siku yangu itafika
Iwe usiku ata mchana
Ninajuwa siku iyo itafika
Mhm
Unapo ponya wengine usinipite
Mhm
Unapo zuru wengine usinipite
Baba tenda baba tenda
Usinipite
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda
Baba tenda baba tenda