Upendo Wako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Huh huh
Eh baba ah
Upendo gani
Una kipimo
Uwezi kupimwa
Hata kwa mizani
Upendo uwo una shangaza
Wala mi sina budi
Kuya tangaza ah
Kila siku ya calendar
Wani bariki (oh baba)
Niki taja jina lako
Wanipa Riziki eh baba
Ni upendo gani uwo
Upendo ume kamilika
Upendo wako
Wako baba ni wa ajabu sana
Upendo wako
Wako Baba unatosha
Upendo wako
Asante baba
Niamukapo asubuyi
Ni kwa neema yako
Una nipenda sana baba ah
Your love is new everyday
Your love is powerful
Your love is beautiful oh
Nasema Asante Asante
Kwa upendo kwa upendo
Kwa upendo, Nimetosheka
Mhm Upendo hauna kipimo
Upendo kamili
Naipata kwako baba
Upendo wako
Wako baba ni wa ajabu sana
Upendo wako
Wako Baba unatosha
Upendo wako
Nah nah nah
Nah nah nah nah
Upendo wako wani fanye
Nipendeze (asante)
Unavyo nibariki (asante)
Unaniweka juu
Nape nape napendwa
Una nifanya nipendeze (asante)
Kwa neema tuna ishi (asante)
Unavyo ni bariki
Kwa upendo Nashukuru
Upendo wako
Upendo wako
Wako baba ni wa ajabu sana
Upendo wako
Wako Baba unatosha
Upendo wako
Upendo wako ohh
Huh Asante baba