
B Ball Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Dushy Boy -Bball
BBall BBal BBall BBall BBall BBall
BBall BBal BBall BBall BBall BBall
Nlikua na ball kama at 7
Nikes on my feet nlikua 5foot seven
Early toka bed ni jog for three kms
Jordan on my feet you know me true Player
Na uchungu wa defeat thats why na Dream layups
Macho kwenye clips na moves ni Cross better
Nyaki na kilimba wanasema i can do Better
Naiona tu time to shine but so layter
Locker room ilikua ni ndogo Ukiscore lesser
Chui ndo alienimbia nikishoot nispell fingers
Game ndo ilinifanya ni grow ni feel serious
Ndo maana free throw nkiscore i thank Jesus
Jamal ndo alisema ukipass una bit defense
Hooping na kupoa tu mtaa issa big difference
Najua walio skip to drugs na gang busines
Dailly kwenye ball you listen you stay real men
Ndo maana nkifall silali nakimbia deffence
BBall BBal BBall BBall BBall BBall
BBall BBal BBall BBall BBall BBall
Mchezo ukawa pesa ,pesa ikawa stresser
I never mind maana watoto ndo waliupenda
Nimeshakua sasa nmekua tax offender
Nimejua cost ya kuloose na we ndo ulienda
Back in time kichwani naona rim hole
Shooting kila shimo alafu shout thats a three point
Mama anacomplain hausomi unawaza b ball
Kichwani nawaza vipi ntamkaba gidibo
Nani ndo aliewaza dushy atatokeaga njiro
Toka way back na OJ sasaivi heroes
Bendera nimeifunga kwa kiuno
Nnavyokuangalia kama nimekupiga bonge la mkuno
Nicheze kikapu nisiwe hiphop
Bora mseminary aliemaliza shule akaenda poa na Chino
Ushindi mi ndo unaniimbiaga hizo nyimbo
Ball imenifanya mi niwe hivi na hivi ndivyo nilivyo
BBall BBal BBall BBall BBall BBall
BBall BBal BBall BBall BBall BBall