![Salam](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/24/7e014ca6ffa8413bb2d3bde35dc953e6_464_464.jpg)
Salam Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Niliacha kesha sababu ya popobawa
Na hivi vikundi sjui vigang sio wakwangu hawa
Salam zifikie ndege wote nliokata mabawa
Nawale fisi wanaoniwinda kwenye grind nawataka hawa
Nnavyowaona ni zaidi ya vision
Na jinsi nlivyo smart ka mstary kwenye division
Usione niko kimya im a hero kwenye hii diction
Simlifeli Dushy boy ndo nakuja ku rescue mission
Yo pass me that shit haha
Siku nakufa nani ata mlinda mwanangu
Wakumfuta chozi mamaangu
Atakerithi tunda langu
I know the game is tough ndo maana masela hatukai kizembe
Vipi kama haya maisha ni movie za uko mambele
Seven feet kila mmoja atafiti tu sio utafiti
Napanga na viti hapo ndugu wanafiki na ndugu wa dhiki
Nlienda down so down na hii meditation
Nachkua nafasi hii for your divided attention
Hello wote kwanza mi naitwa dushy last born lakini wakwanza kuwahi bunduki
I'm just playing
What if saiv imekua ndo facts social media mpaka watoto wanapenda dick yani
Parental advise inafanya kazi kivipi mpaka jirani amekuza shoga kisa katuni ni uchizi Yani
Ngesema amen lakini ukweli unafichwa ka bikra yemen
My pops always told me i got to be a man
Alishasema maisha yangu ni bright vvs
Ndo maana kamwe siskiizi wanaoniponda
Heshima zaidi ya sado ukichanganya hof ya mola
Ila niko kama coin kunaupande hutataka uona
Huo upande ni wa mafisi na panya wa kila kona
So now you know ,nawaona hawa marapa wanakaza roho
Siezi kuheshimu wakati hamna kitu unafanya bro
So minakuja ukikaza utapata moshi im acancer
Usije fikiri ntabaki geto coming faster zaidi ya the flash na Quickrocka
Kama li rasta mbuzi wakwapi beberu naja