Heartbroken Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Nilitry ku fall in love,huyo mpeng aka broke my heart
Dem dayz nilikuwanga broke,so kum approach akasema no
Si wanasema mapenzi ni hot,already nilikuwa nime mfall ka dot
To cut the story short, mpeng alikuwa anadai madooh
Kwa street imekuwa so cold,unapenda mpeng anapenda dooh
Kanairo Baby Girl wana drip,boy child acha ku sinp uta beat
Utabaki ukiwanga ill juu ya ma-heartbreak ukuwanga real
Siku hitaji kusoma chem ndo nielewe baby girl ume leave the gap
Na accept the situation girl,my heart already usha kui broke
Na sidai mpoa ni ju and lonely nime choose kuwa lonely
My heart already ni broken,my heart already ni broken(Aiy)
Baby girl ume broke my heart,baby girl ume broke my heart
Naogopa ku fall in love,naogopa ku fall in love
Baby girl ume broke my heart,baby girl ume broke my heart
Naogopa ku fall in love,naogopa ku fall in love(aiy)
Mapenzi ni ka coalition,unanipenda na kugive the intention
Siwezi mind in love na blind,we ni Juliet na mi ni Romeo
Nili sink in love na sorrow, Delilah akamnyoa samson
Mapenzi ikawa fraud na ivyo Baby Girl uli break my heart
Naimba nikituma polo,Naimba nikitema solo
Naimba ikiwanga rojo,siwezi sema uwongo
Nilikupenda ukapenda dogo,ukamess ukisikiza bongo(yoh ai yo)
Nilitry ku fall in love , huyo mpeng aka broke my heart
Dem dayz nilikuwanga broke,so kum approach akasema No
Si wanasema mapenzi ni hot,already nilikuwa nime mfall ka dot
To cut the story short, mpeng alikuwa anadai madooh
Na ivyo ndo nilifall in love,tuka go down out of love
Mapenzi nikasema No,siwezi kujistress my bro
Hii love imekuwa too cold,ku handle ina bidii madoo
Nah I'm a broke the son of soil,naogopa kufall in love
Naogopa kufall in Love
Baby girl uli break my heart,baby girl uli break my heart
Naogopa kufall in love,naogopa kufall in love
Baby girl uli broke my heart (ogopa)
Aiy yo