Under 20 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Kila siku ni dua, mseja kudua Juu hawana kusua (aaah)
Wamama wanalia,watoto wana die
Life iko epic ka centre ni
pandemic
We live to see tomorrow but never hope for that more
Kwani ni wangapi wame come na wame pass
Dunia imekuwa dice, ukiziroll uta ji nice
16 attempt na still nili manage
Glory tumpee God juu saa hii ningekuwa niko grounded(RiP)
I'm not that better,nawapea story of my life
Na ka unaniskiza keep it hard iyo ndo Re-al
Nawambia ka ni ku choose ai choose mara wise (naaah)
Wana niombea mabaya but God anani bless (ananibless)
Still under 20 nta represent all my best
Kamiti roho mbaya wanadai kuni mess (kuni mess)
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next
Wananiombea mabaya but
God anani bless
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next
Wananiombea mabaya but
God anani bless(G.o.t)
My mum gave me some advise
Wasikucheke udhani mko kimoja
Smile ziko fake coz their heart can tell it
Wamekudharau sana tangu ukuwe adi mless
Keep it mind you're star is so bright
Wana cling cling wanadai kuhang na wewe
Hawajui 3:30 my mom she on her knees
Praying for her son a make it atoe hizo ma bracket
Chenye iza must niku follow further figures
Mbona mna hate na si ni mtu kimoja same blood bana but a
difference is a body
Hatubishani hatushidani -hatubishani na hatushindani
Wana niombea mabaya but God anani bless
Still under 20 nta represent all my best
Kamiti roho mbaya wanadai kuni mess
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next
Wananiombea mabaya but
God anani bless
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next
Wananiombea mabaya but God ananibless(ananibless)
Still under 20,flows by the water
Mayouth wame suffer, mayouth wana die
Depression all along
Oh lord gotta mercy
Oh lord got mercy
Oh lord got mercy
Still under 20,flows by the water
Mayouth wame suffer, mayouth wana die
Depression all along
Oh lord gotta mercy
Oh lord got mercy
Oh lord got mercy
Still under 20,flows by the water
Mayouth wame suffer, mayouth wana die
Depression all along
Oh lord gotta mercy
Oh lord got mercy
Oh lord got mercy
Wana niombea mabaya but God anani bless(ananibless)
Still under 20 nta represent all my best
Kamiti roho mbaya wanadai kuni mess(kuni mess)
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next(G.o.t)
Wananiombea mabaya but
God anani bless
Sticking on their plan juu wanajua mi ndo next
Wananiombea mabaya but God ananibless(ananibless)