
Nakopa Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Starner waves
Yeah
Mimi hua nakopa ko , mmh
Nakopa
Nakopa kopa
Kwa kua maisha yananzonga
Ndio maana mi nakopa kopa
Siishi freshi na ndio maana nakopa
Maisha ni crazy na usiombe kua low man
Nikiwa freshi na usidhani ntakuomba
Leo nimepotea nakuomba
Mkono man
Yeah
Unajua shida haipigagi hodi
Nimefanya fekeche na mishe hazisomi
Sio ka ni ugonjwa na usione ni mdoli
Ester nimemwomba elfu tatu simu kaniblocki
Nikikukopa sio sababu ya ulofaa
Naomba Usinitusi bwana sio poaaa
Maisha yapo ress na nshaanza kuchokaa
Naona nalost
Mwisho ntaja poa
Ujue ukinikopa ntakulipa fasta ogopa
Usidhani kama ntatoroka
Napenda madeni na napenda kukopa
Me na mama samia we both in a same
Ties
Yeah
Mimi hua nakopa ko , mmh
Nakopa
Nakopa kopa
Kwa kua maisha yananzonga
Ndio maana mi nakopa kopa
Oohh me nakopa kopa
Kopa kopa
Kwa kua maisha yananizonga
Ndio maana me nakopa kopa