
Inauma pt 2 Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Inauma pt 2 - Rash Blound
...
Rash nipo mode(rash nipo mode rash nipo mode)
Ulishawai penda dem na ukajua,
Anaempenda ni muhuni wa majula,
Kweli jau haya mapenzi kama unajua,
Ukiteswa na mapenzi inauma,
Inauma(Inauma)
Inauma(inauma)
Inauma(inauma, inauma, inauma)
Inauma(Inauma)
Inauma(inauma
Inauma(inauma, inauma, inauma)
Nilijua unafahidi
Mapenzi yangu mah unafaidi (girl)
Kumbe muongo wewe mkaidi
Kumbe hukunipenda ulikua
Yeah
Siwezi gushi nlikupenda
Taka tufike far miaka rudi miaka nenda
Taka unienzi sikuwaza ka utawenda
Wapi mapenzi kwa vijana tusiokua na ela..(yeah)
Nilitamani uje kuboogie
Was about a time ila subira kwako fupi
Tungefika far and forever we go be true thing
Now u turn my back I’ll go tell u girl u bullshit
Yeah uuh.!!!!
Labda ningekua burna
Ningepiga hayo makilometer kwa sana
Ama ningekua ysl duke ama gunna
Sababu natoka trenchez
Natoka trenchez
Ndio sababu unitende……
Ulishawai penda dem na ukajua,
Anaempenda ni muhuni wa majula,
Kweli jau haya mapenzi kama unajua,
Ukiteswa na mapenzi inauma,
Inauma
Inauma
Inauma
Inauma
Inauma
Inauma( eeh inauma)
Nlichotaka kwako unipende
Kwako unipende tuh (uuh)
Kumbe kwako nlikua kama bwege
Nlikua kama bwege
Haya maisha bora nijitenge
Bora nijitenge tuh (tuh)
Labda nitafanikiwa kwa mbele
Nikiwa kwa mbele tuh
Ulishawai penda dem na ukajua,
Anaempenda ni muhuni wa majula,
Kweli jau haya mapenzi kama unajua,
Ukiteswa na mapenzi inauma,
Inauma(Inauma)
Inauma(inauma
Inauma(inauma, inauma, inauma
Inauma(Inauma)
Inauma(inauma)
Inauma(inauma, inauma, inauma
And love is beautiful when you love
No matter what your doing for this love(eeh)
NO LOVE NO (no love no no lov no love no love)
NO LOVE NO , no no no no no no love
Yeah
King Mouf
King garma
42 crib (its 42 crib)
Yeah