![Huku ndo Kwetu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/29/8d7395d481b648a1a9c14d70d5fb7ded_464_464.jpg)
Huku ndo Kwetu Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Huku ndo Kwetu - SheddMusic47
...
Yeah!…
It’s your boy
Shedd King One’s Again
Oohh yeah
Oyaaa wooo owwoooo
Oohhh owoooh
Oyaaa wooo owwoooo
Oohhh owoooh
Eehhh
Nyumba ya kwanza ooh
Nyumba ya Pili Show
Nyumba ya tatu ndo kuna kigodoro
Nakuacha kwa chochoro, unakula kipondo yooh
MBAGALA sio mbali huko Tandale kitintale iyoooh
Ndio habareee,
Hakuna kutilitili, hakuna Subiri bili
Hakuna kucheel mambo dhahiri
Yaan ni real real, yaan Mubashara
Hakuna Makaraha
Utu ni wetu asili Yetu, kivyetu vyetu
Niger
Huku ndo kwetu, huku ndo kwetu
Yoooh
Huku ndo kwetu, huku ndo kwetu
Homeboy, Huku ndo kwetuu
Huku ndo kwetu Nigger Niger
Huku ndo kwetuu…
Kuna waganga, wanaogangaga
Kuna madanga, wanaodanga bar!..
Kuna hao wanga wanaowangaga
Kuna waganga wanaoganga njaa
Kuna waganja kwa maviwanja, kuruka kwanja dah!…
Huko kitaani balaa, wanna wamelala njaa
We changa unavyozichanga, mwisho wa siku ujenge Kibanda
Nishahasog sana mwisho wa siku nkatupa kitanda
Wana chimbo wakanipa vyeo, mpk Sasa wananiita Kamanda
Mikazo mwanzo mwisho, inakuaje wengine wanasandaaa
Huku ndo kwetu, huku ndo kwetu
Yoooh
Huku ndo kwetu, huku ndo kwetu
Homeboy,
Huku ndo kwetuu
Huku ndo kwetu Nigger Niger
Huku ndo kwetuu…
Waite wakora, ita ving’ora
waje makomandoo (ndoo)
Huku kwetu ni soo (soo)
Mwendo wa show show (show)
Roba ya mbao Je Vele!?..(vele)
Kuna wapiga Vitasa, wahuni wanakata
Michezo ya karate, kuhusu chura mtaani
Mbona utadata, kishandu akinasa ajibebe
(Kishandu akinasa ajibebe)
Wote twendeee juuu
Oyaaa wooo wowowoo
Oohhh woowooo
Ooohhh owooooo
ZYM
Arts by SHEDDMUSIC47