![Break Down ft. Uncle Chugga](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/29/8d7395d481b648a1a9c14d70d5fb7ded_464_464.jpg)
Break Down ft. Uncle Chugga Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Break Down ft. Uncle Chugga - SheddMusic47
...
yezeer
BIG SOUND
YEeezer
(hahahaha)
Banx banx
upo sex, ukicheka kama wema
Huko nyuma tipwa, tetema
umenipa Jana, nataka tena
penzi lako dawa, nimepona
(mwagika mwagika mwagika aahhh)
(mwagika mwagika mwagika hapaa)
(mwagika mwagika mwagika aahhh)
(mwagika mwagika mwagika hapaa)
toto limenishika design, break hazikabi nimepagawa
photos nimeshindwa kubaini, nikichanganya na penzi
ndo nachachawa aahh
akinipa ntatulia, penzi lake kombe nagombania
akishika ntashikilia, penzi lake tamu sitoachilia
(break down, break down, break down mama)
(break down, break down, break down dada )
Break done, break done mama
break down, break down dada
break down, break down mama
break down, break down dada
(break down, break down, break down mama)
(break down, break down, break down dada )
Break done, break done mama
break down, break down dada
break down, break down mama
break down, break down dada
(Anko Chuga)
We ni OG, sio fake
nataka nikumiliki, Utamu wako Zaidi ya Keith
nionjeshe nipate Kiki, Nakupenda kudadeki
Japo pendo langu fupi, naomba nipandishe
na jerk
Mapenzi huzaliwa na furaha, Amani na Uvimilivu
pia huvunjwa na karaha, michepuko pesa na wivu
Kwa utamu wa busu la shavu, unaweza geuka slave
waweza penda kipumbavu, na ukapendwa kiwerevu
kama kupendwa kazi, niajiri nikupende kweli
kama mapenzi pesa, usinilipe nikupe bure
nimesiz marashi yako, Moshi wa kisheri
me na feel mwendo wako, nakupenda Tu shori
Baby baby baby, me na work for you
Mr nice guy, nakupenda tu
tule tukikosa turidhike Tu,
coz love you me, I wanna marry you
umeumbika balaa, nyuma umefungasha
ndembendembe kama, speaker
kijana wa kiafrika, vyenye kwako nimefika
umenishika shika
(break down, break down, break down mama)
(break down, break down, break down dada )
Break done, break done mama
break down, break down dada
break down, break down mama
break down, break down dada
(break down, break down, break down mama)
(break down, break down, break down dada )
Break done, break done mama
break down, break down dada
break down, break down mama
break down, break down dada
brand beat
SheddMusic47