![DREAMER](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/31/d11bb3867107466c9099ca5b77c9cb58H3000W3000_464_464.jpg)
DREAMER Lyrics
- Genre:Acoustic
- Year of Release:2023
Lyrics
Bandana ya E-sir
Lines kwa kichwa
Zimechrome hii saa
Hadi zanibana na
Nmehit mpaka Banana...
Fans wanago bananas
Imma go the distance
Till niwai Mita
Nidrive Bimma
Na niweze lipa bima
I'm just a dreamer
I'm no fashion killer but sijaichoma picha
Imara kama simba but sipendi Pilsner
Never been a people pleaser Ka hunipendi iza
School of hard knocks ulimwengu ndio teacher
Vijana wa rika enslaved by liquor
Na poverty ndio trigger
Vile times are hard, wasee wanago nuts ju ya kulipwa peanuts
Juzi mdem huko Tinder tulimatch tukameet up
Candle-lit dinner tulifika
Mi huprefer sima na mboga imesimmer but nilikula pizza
Waitress alikuwa amebeba Ka tipper so I had to tip her
Perfect match later kwa dimba alikataa mpira nami nikadinda
Streets zina mgonjwa za kila aina but tunaogopa mimba kuliko virusi
Jumapili misa nilifika nikasikiza kwa kina na kushukuru God kwa kuniondolea shida
Bandana ya E-sir
Lines kwa kichwa
Zimechrome hii saa
Hadi zanibana na
Nmehit mpaka Banana...
Fans wanago bananas
Imma go the distance
Till niwai Mita
Nidrive Bimma
Na niweze lipa bima
I'm just a dreamer
Beats DOA nikiclear throat
Oops MIA nikicome close
Shine all day cheki hizo flows
Just got paid na si ati nafloss
Lace hizi lyrics with hope and you won't sound dope
Fans wanadai story za dope and how to get hoes
Well I speak truths untold
Ongea tu matope we tutakumould
I have been doing the most God when will I blow?
We came we saw
But zile seeds tulisow ndizo walireap after kugrow
Kila siku tunamourn dreams kuwa shot
Na bado hatujui kwenye dreams zikidie zi ugo
Bandana ya E-sir
Lines kwa kichwa
Zimechrome hii saa
Hadi zanibana na
Nmehit mpaka Banana...
Fans wanago bananas
Imma go the distance
Till niwai Mita
Nidrive Bimma
Na niweze lipa bima
I'm just a dreamer