![Siku Njema](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/01/df8ed91218e04902a04c52a19fad0d88H3000W3000_464_464.jpg)
Siku Njema Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Siku Njema bila mkosi
Manoti kwa pochi
Life bila machozi
For me na mahomie
Ndo si hupray sir Godi
Music loud kwa ploti
Na hatujalipa Kodi
Sinipee upuzi
Enda show Majodzi
Life has served us lemons
So daily tuko base
Society's dimmed our gaze
Huku grass to grace
Ni kamagera kuwa kadere
Si huachanga shule kusaka high grades
Ficha white kila day
Ju kwa mbulu wanataint
Huku ends humeet jioni na kuachana before daybreak
National cake hatupati
So tunaend up kuwa baked
Dead inside ni heri kuwa high
Life mtihani,
Ukipass early umefail
Tryna make my days count
Know future's in my hands
So expect no handouts
Best foot forward kila day ngware ndani ya forward tukijikaza kisabuni kuget sabuni ya roho
Usiku tuko macho kama popo
Siku Njema bila mkosi
Manoti kwa pochi
Life bila machozi
For me na mahomie
Ndo si hupray sir Godi
Music loud kwa ploti
Na hatujalipa Kodi
Sinipee upuzi
Enda show Majodzi
On God
Kanairo tulikuja hustle
Ka unakimbiza tu tako, kaa kando
Dreams za kudrive prado
Na kulive kwa mansions
Though tuligrow na light ya candle
Dreams huwa chased
Nakaza shoelace niongeze pace
Wanauza sura
Mi nasave face
Sidai do time
So sido crime
I'd rather face time
Face the elephant in the room and it's true ndovu ni kuu
Tunatingiza mti tuone fruits
Ka fruits of our labour zitafall
Politicians ni liars,
Walipromise makazi sai tumetarmac sana mpaka tunabonga kilami
Penye nimefika naeza ata kuwa kijakazi
Siku Njema bila mkosi
Manoti kwa pochi
Life bila machozi
For me na mahomie
Ndo si hupray sir Godi
Music loud kwa ploti
Na hatujalipa Kodi
Sinipee upuzi
Enda show Majodzi