NIMEONA ft. Godfrey Steven Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nimeona ukiniponya
Nimeona ukinigusa
Nimeona ukisema na mimi
Nimeona Nimeona
Nimeona
Nimeona ukifanya,ukibadili
Nimeona ukibadili magumu kuwa mepesi
Nimeona ukijenga Falme imara, Nimeona
So ombi langu, uzidi baki kwangu
Milele uwe wangu, Kwa maaana we uwangu Bwana
Ili vizazi vyangu, vije kuona kwangu uliyoyafanya kwangu.
Zaidi yake, hakuna Mungu
Anaeweza na kuokoa
Mtoshelevu mwenye upole,
Hakuna mwingine ila Mungu.