MOYO WANGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Moyo wangu U wazi
Moyo wangu U wazi
Kukuabudu Bwana
Kukuabudu Bwana
Bwana mi nimefungua Moyo wangu, Wewe ufanye makazi ndani yangu
Bwana mi nimefungua Moyo wangu, Wewe ufanye makao ndani yangu.
Wewe ndani yangu, mimi ndani yako, Nitumie upendavyo
Yape maisha yangu sura yako Bwana, Nitumie upendavyo
Bwana nimefungua nimefungua Moyo wangu
Wewe ufanye makao,makao makao!!!!!!!
Nakuabudu, Nakutukuza
Bwanaa Bwanaaa wangu
Nakuabudu, Nakutukuza
Bwana Bwana wangu
Bwana Bwana Bwana Halleluiah Bwana
Bwana Bwana Bwana Halleluiah Bwana
Mungu tunakuadhimisha wewe, Tunashuka mbele ya neno lako
Maana tazama ni neno linalotenda makuu, ni neno linalotenda maajabu
Neno lako hakuna jingine Zaidi ya neno lako, Wewe Yesu Jina lako limezidi majina yote
Tunashuka na kunyenyekea mbele ya uso wako,
Yesu
Mungu wewe ni Mungu Mtakatifu, Tazama wewe ni Mungu ulieketi mahali pa Juu
Wewe ni Mungu ulieketi katika kiti chako cha enzi,
Maserafi na Makerubi wanalitukuza na kuliinua Jina lako
Nasi tunaungana nao tukikusifu na kukuabudu wewe
Maana wewe ni Mungu unastahili, Wewe ni Mungu tunasema ahsanteee
Wewe ni Mungu tunakukaribisha katika maisha yetu.
Yesu