![Mtihani ft. Vandrel](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/18/33cacbc6926447d38f9f4eb465770fc8_464_464.jpg)
Mtihani ft. Vandrel Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Aye
Woah
Aye 0777
On Safari
Wrong number
On Safari bana
0777
Wrong number
Hello
Uko wapi
Niko na psyche njiani
Ai Ai
Ndio napita gate
Ndio napita mtihani
Mzinga zizoze zishike
Pigia diffre afike
Kawake kasonge kafike
Katambe kawake kashike
Hello
Uko wapi
Niko na psyche njiani
Ai Ai
Ndio napita gate
Ndio napita mtihani
Mzinga zizoze zishike
Pigia diffre afike
Kawake kasonge kafike
Katambe kawake kashike
Nimecome nikiflow
Saka tu maganji
Went to the bank tu kuborrow
Hello
Walisema Stevie come through tomorrow
Niki come through hio tommorow
Mtakuwa sure hizo ganji
Ama ni I dont know
Say whats si ma jomo
Hamudai kunicheki kwani hii ni porno
All the best nakushow
Graduation hiyo test niliflow
Motivation your the best aki go
Dame aliniacha
Life skills buda niko daro
Uko daro
Uko daro
Hey Hey Hey
Da Boy
Uptown
Andai Gyals
Downtown
Nai place yada waters
Siko surprised wako maji
Mali ni safi
My beats
Miyagi
The feats
Sitaji
Smoking on that foreign
Not bangi
Road to the riches
Niko bypass
On safari
Ona poachers
Poachers poachers poachers
Buns ya madem
Mi ni hottie
Namba ten ka Totti
Relax na waba
No bottie
Relax na waba
No bottie
Wacha pocket pool
Save hiyo njoti
Hello
Uko wapi
Niko na psyche njiani
Ai Ai
Ndio napita gate
Ndio napita mtihani
Mzinga zizoze zishike
Pigia diffre afike
Kawake kasonge kafike
Katambe kawake kashike
Hello
Uko wapi
Niko na psyche njiani
Ai Ai
Ndio napita gate
Ndio napita mtihani
Mzinga zizoze zishike
Pigia diffre afike
Kawake kasonge kafike
Katambe kawake kashike
Kawake kasonge kafike
Katambe kawake kashike
Mali safi
My beats
Miyagi
Walisema Stevie come through tomorrow