DREAMS ZA BLOCK Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni ka Saa saba , chora saba cheza na goons
Hii si tano nane but
Don't get it confused
Hapo Youtube producer wengi beats hamuezi use
Lakini mi ni ka Mode
Stude ndo ana follow the rules
Nimecome na ma substance mingi jo kwa bag ni ka Aliibaba
Analeta ma standards mingi bro tume come tukuchill na kuchana
Cheki ka unadai botti my G itabidi umechanga sadaka
Hatuna ma tools
Lakini mangumi utazipata
Ex ananiita bae reason why ni nafika bei
Boys anatrap LA
Ukicome through utanipata ngei
Ngei one ngei two
Early bird alicatch the worm
You snooze you loose
Huku gram tunaauza thao
Hatudai ma loose
Masnitch wako red and blue
Mic inaniita boo juu na tema na drool kwa booth
April fools
Prank ina follow rules
Baboon anadai kuchil na goods
Si tukifika tunafika na goods
Check hiyo boot
We in carhoot can't change hiyo mood
Wanitambua kwa hood
Si hujuwana na goons wariwana wasichana
Mi nikisema nai do
Wengine ni panganga
Hauwezi kunipanga
Biz ulipanga
Ah sina ready cause pesa huishanga
Imebaki tumechanga
I've been on a run nikisaka tangu jana
Tulichora plan na haikuingiana
Back on the road got another load tryna flip
Pate dough
Got another show
Put Nairobi on the globe
Ah fuck it
Ka porn
Me huflip hiyo bread
Sommersault
Shuffling on your crew
Sema ni assault
wata kill the truth
Saint paul saint hannahs
Ma tires na ma stones
Buda ako bad
To di bone
Number alichora
Dial kwa phone
Twerking n the Baru
Wewe wacha waru
Just chips funga three stripes clean
Anapenda unga
Twerking in the Baru
Wewe wacha waru
Just chips funga three stripes clean
Ni ka Saa saba , chora saba cheza na goons
Hii si tano nane but
Don't get it confused
Hapo Youtube producer wengi beats hamuezi use
Lakini mi ni ka Mode
Stude ndo ana follow the rules
Nimecome na ma substance mingi jo kwa bag ni ka Aliibaba
Analeta ma standards mingi bro tume come tukuchill na kuchana
Cheki ka unadai botti my G itabidi umechanga sadaka
Hatuna ma tools
Lakini mangumi utazipata
Nimetoka kwa block nikiwasha
Kuja kwangu ukitaka kupata
Ka ni shada mi hupenda kuwasha
Ka ni pesa imekuja kupatwa
Hali tamu ikiweza na taja
Maji safi na chapa kupanda
Ka ni pressure huwezi ni pasha
Ndiyo natoka kwa pedi ndiyo nashika stash
Kuja hivi na rizzla ndiyo ntakuwa na cash
Teketisha kidogo wateja kwa trap
Uslekishe kidogo na watakutrap
Ujipate na Toto na ulilipwa nyap
Tell her tuma app
Tell her tuma rider nduthi skrt skrt niko tapped
Tell her usizirai asi shuku juu leo niko calm
Tell me we connect like Zuku slow down with the cap
Ka 4 20 sharp
Cooking broll with the Burklyn Boyz juu ngoma ili slap
Trying to ball with the crooking boys umiza break your back
Goons na goats wamechoma na ukibakwa ku attack