![Penye Riziki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/13/49fa42c4907c4ce2b93c0310d5b03308_464_464.jpg)
Penye Riziki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Penye Riziki - Martha Baraka
...
penye riziki hapakosi fitina maneno hayo mara nyingi umesikia lakini wewe mchamungu usihofu riziki yako iko mikononi mwa mungu, penye riziki hapakosi fitina maneno hayo mara nyingi umesikia lakini wewe mchamungu usihofu baraka yako iko mikononi mwa mungu
heiieeeeee