![Chanzo Ni Nini](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/13/49fa42c4907c4ce2b93c0310d5b03308_464_464.jpg)
Chanzo Ni Nini Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2010
Lyrics
Chanzo ni Nini - Martha Baraka
...
Chanzo ni nini chanzo?
Chanzo ni nini chanzo?
Kila mtu anajiuliza nini chanzo?
Chanzo ni nini chanzo?
Dunia inajiuliza, nini chanzo?
Chanzo ni nini chanzo?
Chanzo cha mabaya yote ni nini chanzo?
***
Tukitaka kupona ndugu zangu
Ni lazima tumuombe Mungu
Atuoneshe chanzo
Chanzo kikubwa cha maadili kuporomoka
Ni lazima tumuombe Mungu Atuoneshe chanzo
***
Matatizo yote pengine unayoyapata
Ni kwa sababu moyoni mwako
hujaondoa chanzo
Fanya haraka ndugu yangu Neema bado ipo
Mpokee Yesu moyoni mwako akiondoe chanzo
Matatizo yote pengine unayoyapata
Ni kwa sababu moyoni mwako
hujaondoa chanzo
Fanya haraka ndugu yangu Neema bado ipo
Mpokee Yesu moyoni mwako akiondoe chanzo
***
Chanzo ni dhambi chanzo(chanzo ni dhambi Ee)
Ukitazama mabaya mengi
Dhambi chanzo
Ndio sababisho la matatizo
Chanzo (hehehehee) ni dhambi chanzo
(ndio chanzo he)
Ndio maana tunaipiga vita dhambi chanzo
Watoto wanaacha masomo
Chanzo(hehehehee) ni dhambi chanzo
Tuipige vita hiyo
Ndio maana tuna sema
Acha dhambi chanzo
***
Chanzo ni dhambi chanzo
Sodoma na Gomora kuchomwa moto
Dhambi chanzo
Chanzo ni dhambi chanzo
Samson kutobolewa macho
Dhambi chanzo
Chanzo ni dhambi chanzo
Anania na safira walikufa
Dhambi chanzo
***
Ni muhimu sana kutafuta chanzo
Wakati matatizo yanapotokea
Ukiwakuta wanandoa wamepishana
Kabla hujawapatanisha waulize chanzo
Chanzo ni nini chanzo
Kabla hujawapatanisha waulize chanzo
Chanzo tafuta chanzo
Chanzo cha tatizo lao waulize chanzo
***
Chanzo ni dhambi chanzo
Acha dhambi - eee
Ukitazama mabaya mengi
Dhambi chanzo
Hiyo ndiyo sababisho hiyo
Chanzo(cha matatizo) ni dhambi chanzo
Kupona wee!
Ndio maana tunaipiga vita dhambi chanzo
Ndio dhambi hiyo
Chanzo(hehehehee) ni dhambi chanzo
Tuipige vita heee
Ndio maana tuna sema Acha dhambi chanzo
....
Bwana Yesu aliona wanadamu tunavyoteseka
Na sababu kubwa ya mateso yetu
ilikuwa ni dhambi
Akaona mwenyewe ashuke ajitoe sadaka
Msalabani Golgotha aiondoe dhambi
Bwana Yesu aliona wanadamu tunavyoteseka
Na sababu kubwa ya mateso yetu
ilikuwa ni dhambi
Aliona mwenyewe ashuke ajitoe sadaka
Msalabani Golgotha aiondoe dhambi
Yeyee Golgotha haaa!
*****
Matatizo yote pengine unayoyapata
Ni kwa sababu moyoni mwako
hujaondoa chanzo
Fanya haraka ndugu yangu Neema bado ipo
Mpokee Yesu moyoni mwako akiondoe chanzo
Matatizo yote pengine unayoyapata
Ni kwa sababu moyoni mwako
hujaondoa chanzo
Fanya haraka ndugu yangu Neema bado ipo
Mpokee Yesu moyoni mwako akiondoe chanzo
Chanzo ni dhambi chanzo
Acha dhambi
Ndio maana tuna sema Acha dhambi chanzo
Umpokee Yesu
Chanzo ni dhambi chanzo
(ndio chanzo cha matatizo)
Usisite ndugu yangu Acha dhambi chanzo
*****