
Najutia) ft. MAYUU SANAA (BENDIHURU) Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2023
Lyrics
Chances
Wasted Chances
Time is of the essence, nothing is guaranteed
Moments ni brief, na huwezi finya repeat
Take me back wish ningeweza rewind ka CD
Back to siku nilikuwa naïve
Na Maisha ilikuwa 2D
Kabla eve aniconvince nipige bite
From all knowing tree
In search of better sight relied
Jo me nikatii
Kumbe ignorance is bliss
And there is too much to see
Nko ndani ya ndoto
Na naitisha sleeping pills
Gone are the days
Mi sikuwa na give a damn
About anything I mean everything
Formative days
Nilikuwa na big plans
Yes was a failure but never a quitter
Nikavumilia mablister
Nikikumbuka kiboko ya teacher
Mi na swallow pride yangu bitter
Najutia Najutia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia najuitia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia najuitia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia Najutia
Kuna vile ilikuwa noma
Wasted chances
Wasted chances
Wasted chances
Ooo oo oo
Mhh mh
Tulikuwa tufix vitu na my chil kiburi ika carry the day
Kaa ushakuwa kwa situation similar unajua how fucked up it feels
Hizo ndo vitu na jutia ju pesa haiwezi nirudishia
Role models ni minimal na siko so convinced
Tangu tuende digital sijawai Post fake kwa Reels
Intervention ni critical thank God Nina skills
Regrets Ni mingi joh wasted chances na siwezi relive
Yeah wasted chances siwezi relive
Najutia Najutia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia najuitia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia najuitia
Kuna vile ilikuwa noma
Najutia Najutia
Kuna vile ilikuwa noma
Wasted chances