
Tulifanya Nini Jana ft. Masauti
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Tulifanya Nini Jana ft. Masauti - Breeder LW
...
Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Nataka nijue Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue Wa Wa Wa Wataitana, wakiskia kile tulifanya Jana Na kawaida sherehe haikosi drama So the next morning nabadilisha number Ju kuna msupa niliteka jana Na ni msupa wa msupa wa kama So Big Baba naapa ya kwamba Hawa wasupaa nachora sasa Hah! Na Jana si ilikua siku fiti, Wapoa mwah! Fine and pretty The body killer danger risky Utakunywa nini, Gin ama whiskey? On that note leta crate Ka mbili Ongeza shots na zikuje na risiti Jemapel Bazenga Dadii comosava my Sherri Macho mi nikifikicha nawakumbuka wasichana, Niambie bila kunificha ni visanga gani tulifanya? Maana bado mi sipati picha, kile tulifanya Jana Sijui tulichoma picha ama tulisababisha Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Nataka nijue Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue Nilikua Jing my G na jicho nyanya Chinese beijing Hadi simu ilivunjika screen We si unajua vile si huchafua scene Kuna Fala aliwekewa Mchele Alirauka bila tenje na walenje Bila shati na ako ndani ya stenje Na anataka Bibi yake ndio amwendee Ulevi hukua tamu Sana ukiwa na your gang Na Ukilewa uko solo what a gwan Uki sip na ukipuff uki sip na ukipuff ukisip utjipata Dreamland Na hangi flani haiishi, kwani Jana nilikunywa nini? Na hii pombe mi nitaacha lini? Next time siendi kunywa na nyinyi Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Ebu nielezee Tulifanya nini Jana? Kwenye Ile sherehe Tulifanya nini Jana? Nataka nijue Tulikua wapi na nani? Mi nataka Nijue Tulikunywa nini na nini? Mi nataka Nijue Tulifanya nini na nani? Mi nataka Nijue Tulilala wapi? Kwa nani? Mi nataka Nijue
Similar Songs
More from Breeder LW
Listen to Breeder LW Tulifanya Nini Jana ft. Masauti MP3 song. Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song from album Vibes & Ting is released in 2022. The duration of song is 00:03:57. The song is sung by Breeder LW.
Related Tags: Tulifanya Nini Jana ft. Masauti, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti MP3 song, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti MP3, download Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song, Vibes & Ting Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song by Breeder LW, Tulifanya Nini Jana ft. Masauti song download, download Tulifanya Nini Jana ft. Masauti MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
@kelvin49
Boaz wilson2utt7
apo ivo bazenga Daddy[0x1f641]penda [0x1f623][0x1f621][0x1f621]
Tommya8c40
Mad One [0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
a big tuneeee[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]