![Umenipata ft. Platform](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/10/fb717603ad964c159c711dd10bd2d837_464_464.jpg)
Umenipata ft. Platform Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Umenipata ft. Platform - Shetta
...
Mtoto shepu mtoto guu guu
Kila unapopita watu macho juu juu
Baby ka umebeba kichuguu
Alafu chuchu ndogo kama kitungu
Yes enjoy kua na mimi maa
Mwili wako niufunike na madini maa
Safari ya angani na majini maa
Mi ndo king we ndo queen maa
Have baby by baby bi billionea
Vikao Ushajua ninachotaka umenipata aah mi nakutaka taka
Kokote unapotaka mi nakufata ah umenipata pata
Ooh umenipata pata
Oooh umenipata pata
vyangu mawazili na mamea
Zinaletwa ndo wamezifill mabelea
Matumizi bei juu na bill tunagombea
Baby gam baby gam
Nakila wenye sifa zako nafahamu
Ufahamu wakujuaga chungu na tamu
Mi ningekua rais ningekuonga dar es salaam
Ushajua ninachotaka umenipata aah mi nakutaka taka
Kokote unapotaka mi nakufata ah umenipata pata
Ooh umenipata pata
Oooh umenipata pata
Baba qaira
Nilivyokuona tu paah!! Macho yakapanic
Moyo ukazama ka meli ya titanic
Nishakulenga na jiwe gizani
Kukupenda nakupenda kukuacha sidhani
Mamy mi ni bilionea nifirisi hadi nirudi kwenye umillionea
Tafuta kibenten ukionge ila nikikifuma aisee husiombee
Unawadatisha datisha nazako calendar
Husiwakubali chill nami shetta nakupenda
Washamba fulan ndo wanadiss kwa chat
Nawe ndo mama yao atakama hawataki
Ok it's ok baby husiondoke
Vyote it's ok ntakupa lolote
Wakujuaga chungu na tamu
Mi ningekua rais ningekuonga dar es salaam
Ushajua ninachotaka umenipata aah mi nakutaka taka
Kokote unapotaka mi nakufata ah umenipata pata
Ooh umenipata pata
Oooh umenipata pata
Kama gari lishawaka umeniwashaa
Gari umeliwashaa
Arosto arostoo lishawakaa
Gari umeliwashaa
Oooooh