![Kerewa ft. Diamond Platnumz](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/08/AE/rBEeMVgIwtuAM4N7AADgWhZn7ug248.jpg)
Kerewa ft. Diamond Platnumz Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2014
Lyrics
Kwanza umejazika kama mlima Kitonga
Mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga
Je napokumiss naku-call tunabonga
Hello we ndo mamito
Amini mi ndo papito
Okay, we ndo mamito
Achana nao ya dunia yote mapito
Okay, yes we ni bonge la demu
Hata machizi wamesema bonge la shem
We ni bonge la demu
Tupendane tupeane yaani kila sehemu
We ndo mama Kaila
Of course mi ndo baba Kaila
Amini we ndo mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni taila
We ni wangu tu, tena waambie watuache tulale
We ni wangu tu, usije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba.. kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Yoh umenipa nafasi sitaki nikosee
Sitaki mwendo kasi sitaki nipotee
Changanya kila kitu mpaka nikolee
Mi ni wako kila siku nipokee eh
Jua kweli nakupenda mama
Siwezi kukuigizia drama
Vicheche nawakatalia sana, nafurahia pia unabania wana
Mpaka wanga wanasema hunifai kabisa
Wanatamani nikuache kwa visa
Wengine wanataka nikuuze ka hisa
Ila mchizi nimegoma sikuachi kabisa
Oh yeah we ndo mama Kaila
Of course mi ndo baba Kaila
Amini we ndo mama Kaila
Achana nao wanaokufata wote ni taila
We ni wangu tu, tena waambie watuache tulale
We ni wangu tu, usije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba.. kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Kerewa, kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Sa usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Ah usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Ah si unajua wenye chuki na hiyana
Wametukania sana, sana usiku na mchana
Wakiomba kuachana
So usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)