![Nilikuwa Msafiri](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5B/F2/rBEeNFopFkqAGj5MAAC-hIud5lc024.jpg)
Nilikuwa Msafiri Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Nilikuwa Msafiri - SDA Arusha Central Youth Choir
...
Nilkua msafiri bora
Wa kwenda mbinguni..
Nilikua nao wenzangu tukipeana moyo
Nilipofikia karibu,ya kuvuka ng’ambo
Nikajawa kiburi cha ushindi
Bila kutambua.
Nikaanza kurudi nyuma..
Nikayarudia matope..
Niliokua nao wote wakaniacha (huzuni)
Chorus
Mimi nifanye nini?!.. (njoo kwa yesu)
Mimi nifanye nini?!.. (njoo kwa yesu)
(Bado muda mfupi kwa anaetaka Toba)
Niende wapi..(anza safari)
Siwezi tena.. (usife moyo)
(Shujaa wa msalaba yuko mbele)
(akuitaa ...ng’ang’ania wokovu,
Taji linakungoja)
Ni matendo mengi maovu,nilioyatenda
Nimeshamkosea Mungu alienikomboa
Nina wasiwasi wa kwamba,sitapokelewa
Nimepoteza dira ya wokovu nitaangamia.
Nani atanisaidia.,anitoe mimi shimoni
Nisiangamie na dunia anihadhari
Chorus
Mimi nifanye nini?!.. (njoo kwa yesu)
Mimi nifanye nini?!.. (njoo kwa yesu)
(Bado muda mfupi kwa anaetaka Toba)
Niende wapi..(anza safari)
Siwezi tena.. (usife moyo)
(Shujaa wa msalaba yuko mbele)
(akuitaa ...ng’ang’ania wokovu,
Taji linakungoja)