![Alishuka](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/5B/F2/rBEeNFopFkqAGj5MAAC-hIud5lc024.jpg)
Alishuka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Alishuka - SDA Arusha Central Youth Choir
...
Alishuka kaacha enzi aokoe tulopotea,
Alivua utukufu wake niwe huru niwe huru,
(Aliacha enzi yake juu kwa upendo 'kanitafuta,
Alikufa cha aibu niwe huru niwe huru, X2)
Ni pendo la ajabu sana alilotupenda mwokozi,
katufia tusiostahili tuwe huru tuwe huru,
Atuita tuende kwake na mizigo yetu ya dhambi,
Tusiudharau wema wake twende kwake twende kwake,