![VIPO](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/22/4d5fd573d89742e0800d9a7a2dfe6ac3_464_464.jpg)
VIPO Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2023
Lyrics
Hehehe Chichichi
Hehehe Nani?
Senetaaaa
Suti bila tai
Tia jacketi pensi ovasaiz
Pita kwa wanah Cheche wasabaih
Kuja na bebe huku haifaih
Vipoo vipo
Vibunda mfukoni hapa vipo
Sio vya kukopa hapa vipo
Bia tunamwaga mafuriko
Say Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Krututuntuntu Krututuntuntu
usimkanyage mwenzio
Krututuntuntu Krututuntuntu
usimkanyage mwenzio
Eh kaja tena
Kaipenda kaja tena
Mwambie ataitema
Kama wapo wengi shusha kontena
Eh kaja tena
Kaipenda kaja tena
Yani mwambieni atavitema
Kama Wapo wengi shusha kontena
Kataka Bia
Nimempa Bia
Mbona hapa mwisho ananing'ang'ania
Masela e (he)
Majita e (he)
Nitamfanya kitu mbaya mazee
Masela e (he)
Majita e (he)
Naondoka na-he mi mazee
Vipoo vipo
Vibunda mfukoni hapa vipo
Sio vya kukopa hapa vipo
Bia tunamwaga mafuriko
Say Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Ko Ko Ko Ko
Krututuntuntu Krututuntuntu
usimkanyage mwenzio
Krututuntuntu Krututuntuntu
Usimkanyage mwenzio