![Nana](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/03/4766ba8d32ca45b7af0459e06e1ff0bc_464_464.jpg)
Nana Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Nana - Seneta Worldwide
...
Sheriee kuna kitu mi nataka nikwambie
Lindo lishapendwa na mie
Tamu ya moyo husijipimie
Sheriee ooh maneno yote waambie
Lindo lishapendwa na mie
Kama giza na nyota
Yani ka wekundu na kopa
Kua nawe nahisi naota ooh naotaa
Na na na na nana naa
(baby give some lovex2)
Nawe
Mi nawe tupande milima honey ooh
Nawe
Kwako nimeweka mazima wangu moyo
Nawe
Sina hajizi niko wima you my really love
Nawe
Kwako ndipo yangu hadhina ya upendoo
...
Kunanipa ya upala moyo (ya moto)
Unipe nikupatie samsam
Haikeshi ngoma ya watoto waache waumie tu bambam
Natudumishe raha zizidishe
Moyo usiuhamishe kwako naficha anana
Husije uhairishe mahaba yaishe
You're my only one
Baby you're my only one nana
Na na na na nana naa
(baby give some lovex2)
Nawe
Mi nawe tupande milima honey ooh
Nawe
Kwako nimeweka mazima wangu moyo
Nawe
Sina hajizi niko wima you my really love
Nawe
Kwako ndipo yangu hadhina ya upendoo
Onana nana oh baby nana
Oh baby oh baby nana
Onana na oh baby nana
Oh baby oh baby nana na