![Sitaki Mazoea](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/19/089d617e5afe4806b9f05d9aa9f1fd40_464_464.jpg)
Sitaki Mazoea Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Kwanza hauna hata aibu
Kwani mara ngapi umenijaribu, eh
Uwezo hata hauna
Ungekuwa nao s'ungeniharibu, eh
I'm unstoppable
I'm unstoppable
Unatega kushoto mi napita kulia
I'm unstoppable
Cause my lord is capable
My lord is capable
Kwako kunaweza rushwa moto kwahiyo tulia
My lord is capable
Hapa nilipo ni kwanguvu zake
Naishi kwa matakwa yake
Kwahiyo usijedhani kwamba majaribu
Anaweza akaniachanisha nayeye
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Oh Jesus
Jesus
Oh Jesus
This is for you
Siwezi kuishi bila wewe
Sifa na shukrani zote upewe
Mitego ya devil ikemewe
Kwa jina lako
Siwezi kuishi bila wewe
Sifa na shukrani zote upewe
Mitego ya devil ikemewe
Kwa jina lako
Jamani minalindwa
Lindwa mimi
Na mkombozi wetu
Acha nijichezee nifurahi
Mwenzenu nadekezwa
Ndio maana minaringa
Ringa mimi
Nimo ndani ya Yesu
Siwezi kosa kufurahi
Mwenzenu nadekezwa
Hapa nilipo ni kwanguvu zake
Naishi kwa matakwa yake
Kwahiyo usijedhani kwamba majaribu
Anaweza akaniachanisha nayeye
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Sitaki mazoea
Shetani hauna mamlaka juu ya maisha yangu, eh
Me I don't care
Hata ujaribu vipi siwezi muacha mungu wangu, eh
Aha, Jesus is king
TrustYahweh music
The home of the best gospel sounds
Let's go
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafu ta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafuta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafuta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafuta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafuta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Mwovu ukinichimbia shimo
Utatumbukia humo
Ukinitafuta hauta nipata
Mbawani mwa Yesu nimo
Clean sound by
Clayton