![You are enough](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/19/089d617e5afe4806b9f05d9aa9f1fd40_464_464.jpg)
You are enough Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Some people call me the great Paladin, Paladin
Kijana humble tena mwana dini, mwana dini
Gospel zinahit hata baridini, baridini
Hakuna kuboreka mu quarantine, quarantine
Imana niyo yabikoze
Nzaikorera ngihagaze
Imana niyo yabikoze
Nzaikorera ngihagaze
Your name is power
Jesus
Power, eh
Lime niweka sawa
Jesus
Oh sawa, Eh
Bwana Yesu unaweza
Eh, unaweza
Unaweza kwa kila jambo
Eh, unaweza
Nikingie kifua kwa wanao nibeza
Eh, wanao nibeza
Bwana mimi siwezi vichambo
Eh, nitetee ebeneza
Tumaini langu niwe
Milele nitasifu bwana usifiwe
Liwalo na liwe
Sitakuacha hata mawe nitupiwe
Kwako kuna furaha
Yaani napata raha
Na jina lako ni silaha
Yakuteketeza mapepo
Jesus, you are enough, ee mm
Jesus, you are enough
You are enough, you are enough, for me
You are enough for me, yes and I'll say it again
Jesus, you are enough
Okay
Hapo Golgotha Yesu ulinisumbukia, eh ulinisumbukia
Na ukasema nitakua kichwa sio mkia, eh sio mkia
Ninapo sifu jina lako shetani anachukia, eh anachukia
Ila siku zote anatafuta kwenye tutaangukia
Mimi ni suja, lilio chaguliwa nawe
Na utakapo kuja, mbinguni nitatimba nawe
Ni huzuni, mwanzo mwema na mwisho mbaya
Mbona wengine imani inapunguka wanapofika ulaya
Karibuni, kufanya kazi ya Mungu usiwe na haya
Ona tunavyo upiga mwingi wanaYesu huku mambo ni fire
Ebu amka, hata kidogo, tumupigie dance huyu mwamba
Basi nyanyuka, hata kidogo, tumuchezee bwana maana yeye
Peke anastahili, kwako kuna furaha, yaana napata raha
Na jina lako nisilaha, yakuteketeza mapepo
Jesus you are enough, ee mm
Jesus you are enough
You are enough, you are enough, for me
You are enough for me
Yes and I'll say it again
Jesus you are enough