Vibaya Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Vibaya - SheIsSiena
...
natabasam
mpenzi wangu
kila nikikumbuka the way you are
napoteza faham
yani kufaham
siku uloondoka ukaniacha mwenyewe
yani mwenyewe
niko lonely baby
eeeeee
niko lonely baby
hey beibeee
I'm miss you my beibeee
na usiniseme VIBAYA
sababu nilishqpendanaga aaaaa
na ukanitenda vibaya "VIBAYA"
vibayaa " VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
Viiiiiiii "VIBAYA"
vibaayaaa "VIBAYA"
vibayaa "VIBAYA "
Sitofuta namba yako weee
huenda siku utarudiana namii
vipi ushawambia ndugi zako
siri zetu za chumbani eeee
na imeandikwa me ni wako booo
haijalishi utapitia mangapi
Ohhh mangapi
utapenda wangapii
wangapi
njoo utulie na mimi
Aaaaaaaaaaa
I LOVE YOU "nimependa nmependa"
I MISS YOU "nimependa nmependa
I MISS YOU BEIBEE "nimependa nmependa"
Aaaaaaa hey beibeeeeee
I miss you my beibeeeee
na usiniseme vibaya "vibaya"
sababu nilishapendanaga aaaaa
na ukanitenda vibaya "VIBAYA"
vibayaa " VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
vibaya "VIBAYA"
Viiiiiiii "VIBAYA"
vibaayaaa "VIBAYA"
vibayaa "VIBAYA " (×2)