![Mapenzi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/22/d942d9c8072c4aa3ac8c90c1020eee92_464_464.jpg)
Mapenzi Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Mmmh!..Mapenzi mfano shilingi
Niko busy na saka sii siriii iii
Ooh!.salary Niko busy na saka na saka
Mapenzi mfano sukari iii
Tamu asali mama
Mama ii, mama ii
Mama nipe nipe nipe nipe usininyime
Nijigambe gambe gambe pia nitambe
Mama nipe nipe nipe nipe usininyime
Nijigambe gambe gambe pia nitambe
Yale mahaba ya chumbani
Nimezipeza sii utani
Ooh! Yale mahaba ya chumbani
Nimezipeza sii utani
Aaa!!..Naona ii moyo unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Aaa!!..Naona ii unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha
Kama Mapenzi sumu nimejinywesha mwenyewe
Nimechanganya na ndimu na kujipa mwenyewe
Sikupiga na simu nilikufuata mwenyewe
Nikajifanya wazimu nikajiteka mwenyewe
Aaa!!..Naona ii moyo unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Aaa!!..Naona ii unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha
Mahaba yako ni noma, nipe mbaka chini ninoma
Bingiri bingiri ninoma, eeh!!!!!
Mahaba yako ni noma, nipe mbaka chini ninoma
Bingiri bingiri ninoma, eeh! eeh!
Mahaba yako ni noma, nipe mbaka chini ninoma
Bingiri bingiri ninoma, eeh!!!!!
Mahaba yako ni noma, nipe mbaka chini ninoma
Bingiri bingiri ninoma, eeh! eeh!
Aaa!!..Naona ii moyo unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Aaa!!..Naona ii unanienda mbio
Sira-hii-sii Mimi kwacha pekeo
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha
Nakupenda mpenzi nipe raha-ha-ha
Sijiwezi baby Sina raha-ha-ha