![Nasikitika](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/02/ea1bfa5599fb4a6f8e3024eb7db321ca_464_464.jpg)
Nasikitika Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Watanga tanga kokote dunianiii
Ni Nani aaaliye kuumba wewe
Watanga tanga kokote dunianiii
Ni Nani aaaliye kuumba wewe
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Mbona tunatesana
Oooh mbona tunapigana
Oooh!..mbona tunauwana
Na sisi sote ni wa Rabana
Mbona tunarogana
Ooh! Mbona tunachukiana
Ohh! Mbona wivunyingi sana
Na sisi sote ni wa Rabana
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Watanga tanga kokote dunianiii
Ni Nani aaaliye kuumba wewe
Watanga tanga kokote dunianiii
Ni Nani aaaliye kuumba wewe
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Tuombe mola, kilakitu kitakua bora
Achauoga mambo yote yatakua bomba
Bigeni sala, kwa mola wetu hakuna hasara
Rudi kwa mola yeye ndiye atakuinua
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Nasikitika Sanaa moyoni mwanguuu
Ni Nani aaaliye niumba mimiii
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu
Ni yeye mwenyezimungu
Ni Allah mwenyezimungu
Muumba bingu na ulimwengu