Ligo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni si tunareign hii kingdom GCG imekua kabaka
Unahate na we huparara Ukidunga fiti ni sahara
Ghetto champs haina ma madam
Tusipotee Kwa njia kaa Adam
Our aim ni kutafuta ganji maisha ya usoni ikue ya amani
Si ndio tulienda ligo
Si ndio tulipack makilloz
Si ndio tulisell mafigo
Si ndio tulicork after reload sanse akatoboka mwiko
Ukiona nina panga buda
Niko ready kukumanga Ukiniona niko choche bana nimekuja kukupanga
Aah
Si ndio tulienda ligo
Si ndio tulipack makilloz
Si ndio tulisell mafigo
Si ndio tulicork after reload sanse akatoboka mwiko
Nimejipin ile mbaya buda nimekuja kukukanga
Nimekuja kukufanyfanya nimekuja kukukanga
Aah ready for war, settle the score
Ukibonga unafunguliwa Koo
Infomer looking to inform Huku kule ng'oo alireport vitu wrong
We never glorify the violence we only tell the story through the song
Macho china call me Wong Ching the opp up na..na..na kitu long
If we see the chance then we taking it
Cury booti then we baking it
Came from nothing but we taking shit
If she's a wild one then we tame the bitch
Bro with a Smith Wesson alifanya scene
Aka Sunda western
Get grilled for asking questions Get grilled for all of your intentions
Si ndio tulienda ligo
Si ndio tulipack makilloz
Si ndio tulisell mafigo
Si ndio tulicork after reload sanse akatoboka mwiko
Ukiona nina panga buda
Niko ready kukumanga
Ukiniona niko choche bana nimekuja kukupanga
Aah
Si ndio tulienda ligo
Si ndio tulipack makilloz
Si ndio tulisell mafigo
Si ndio tulicork after reload sanse akatoboka mwiko
Nimejipin ile mbaya buda nimekuja kukukanga
Nimekuja kukufanyfanya nimekuja kukukanga
Hatupendi uso kufukuza magoe tunawasha makoro
Boy anayap sana sa adi kwangu amekua mokoro
Tuko na dreams za kufika mayolo na Kenya hatuja go adi viral
Si hujipin na masoki Kwa ground try usikue our rival
Kutoka enzi za kale buda tulikua bado mafathee
Fala alikam kutugeuzia area tukamsho ahame
Ngeus wa kwake alitulilia tusimwache mjane
Na vile tumekawia kwa jam tukifika msitukane
Naeza kutokea nikiwa solo ama bado tukam wanane
Street ain't easy nimekua mtough buda kushinda adi mawe
Tulizurura machoche bana tukiwa wengi sana
Si ndio tulisell maligo si ndio tulisell mafigo
Me ndio hulenga maphone call zenu ju me hukuaga na ego
Ukijifanya mtamu sana Inabidi me na let go
Nikiwa choche usinigotee we pita me niko mboka
Tulisare kikosi kuchase dem bags ju tuliogopa kusota