
Big L Intro Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Sending this one out
To all the ladies and the man dem
Stay on them 'cuz
Yoh
Kuna wale walikua wanadoubt
Na sai tukipanda stage nawacheki wakishout and ah
Ni Talent zetu walikua wanascout
Na tumewashika east kwa mabeast north west central na south
Me and ur galfriend tumejiseti kwa couch
She on her knees but she ain't praying
Cheki asset jooh Zina bounce
She fell in love na ngoma tume launch
Na pori imejaa shillingi,Dola euro na inasaka mapound
Juu sasa nina gwala mangoko wananihalla
Wanadai kupapaswa kidogo na kugwara gwarwa
Na mi Niko zaa..nada… izo story si nliacha
Ukinshikishia nkishikisha naeza tema jaba
Nikirudi nyuma kama bibi ya Lot
Ntashindwa kula nyama itabidi tu nmekula a-lot
Na ka ni struggles si tumepita alot
Now mi nadai 2 range na 2benz inside a itparking lot
We're just some block Boyz avoiding opp Boyz
Ju tumejipin na vitu real we deal with no toys
We making less noise na bado tuki walk in ni man a galis shori ndeng'a a gal tortoise
Nkiona success wanapatwa na stress
Wanashikwa na kinyongo na Roho chafu inaeza pasua chest
Nkipita mtaani wana dai kunitrace
It's true what they say nyoka hufika area ata ukijenga kafence
We mix the positivity with the negativity
Kuwashow tuna ability ya kuwatake through reality
Tuko na agility….diversitility
Brainz na manpower ya kutake down the whole facility
It's unbelievable maboy wamekua unreasonable Wanachochwa na wanasiasa because they are gullible
Wako unpredictable inadai a miracle
Jeshi ni jimbitinga jooh izo ndio ma syllables
Shiieh shiieh
Washacheki tunaeza sa wanatunyemelea
Na tukianza walitudiss walituongelea
Nimelelewa Dandora mtaa ya madisorder
Mayut hawana mboka Inabidi watoe order
Naeza kuset shashola ni kubuyie coca-cola
Ni maisha tulitaka na sai tunaipata
Tunaishi bila deni tuliacha adi kukopa
My niggar niamini am a star in this mission
We the best in the game and that is our decision
Daily tunaona mbele yetu brighter vision
Na reason si hujikaza tukona great ambition
Chullo ndio defender me Niko attacking position
Naskumaga mashot ngori ngori kiLewandowski
We ready for any battle ama niaje my broski
Usitry kubonga gethaa am talking ju
Naeza kufanyafanya na nikuache in a coma
Wengine walianza rap enzi walianza kuchoma
Na si tulianza rap before adi tujue kusoma
Sa me huvuta shashola ju inanitake higher
Inatuweka higher level where you can't find us
Na wengi tukianza shit waligeuka Thomas
The way they doubted this niggas tukianza
Walituonyesha mgongo now see us
You can't beat me kwa Ring
Me undertaker na Bado Nina skills ka za Cena
Na kuna Sunday utanipata Kwa church
Natubu dhambi zangu ju always am a sinner
Na kuaga mhumble tena sana Na ni saa zote si ile time ati sina
Nimetembea on my foot sana
Maulana sitamind ukinipatia adi kabeameeer