Kaa Rada Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Buda kaa rada
Hapa ni ukweli ma ninja wamepita na panga
Vile utafyekwa
Toka kehuti ni ka masaa ni ya curfew
Rende ishacheki
Bling kwa neck (Check)
Lappy kwa bag (Check)
Vile umedunga ushawekwa kwa magazine
Mbogi kwa choche inangoja ku kok ki magazine
CHEKI
Vijana wanataka ku dishi
(Dishi)
Akuna kakitu ndo motto
(Motto)
Copper nayo bado joto
(Joto)
After ku burn ki local
Shada za bobo na jaba ya chweza (Eii)
Ata wasupa warembo ni wezi
Uliza Budako kenye jo alifanywa
Siwezi kubali ku nyonga weekend
kama ni mapicha ntaweka kwa net
buda utakunywa aje soda kwa club
Wacha zi shike nirudi na keg
kama ni friday lazima ni keshe
sato na sunday ni zoza kwa pedi
kama si story na pesa si basi tupige story na bangi
tattoo kwa thigh bado ni dem anakulwa na mbogi
kama kwa kovu na bado ntasema tena
mtoto wa shule nia aunguze nyege (eeei)
kwani malaya hutembea na kitanda
mbona budako anatembea amedunga kondiko
buda umekosa adabu mpaka kwa ploti umekunia kwa basin
pesa sabuni ya roho
(Roho)
mfupa ishapatwa na umbwa
(Umbwa)
buda itabaki umenuna
(Nuna)
no wonder budako mathako sistako wameshinda wamekesha uko kwangu
kazi ya mapedi inalipa na sisi machizi atulipi ushuru
miti ni dawa ma vela mlegalise
Buda kaa rada
Hapa ni ukweli ma ninja wamepita na panga
Vile utafyekwa
Toka kehuti ni ka masaa ni ya curfew
Rende ishacheki
Bling kwa neck (Check)
Lappy kwa bag (Check)
Vile umedunga ushawekwa kwa magazine
Mbogi kwa choche inangoja ku kok ki magazine
CHEKI
Vijana wanataka ku dishi
(Dishi)
Akuna kakitu ndo motto
(Motto)
Copper nayo bado joto
(Joto)
After ku burn ki local
Shada za bobo na jaba ya chweza (Eii)
Ata wasupa warembo ni wezi
Uliza Budako kenye jo alifanywa
utamu wa kazi ni ganji
kama si ganji
basi ni upigwe kidole
kama wahenga walilipwa
mimi ni nani
mbona jo ucheze na pesa
kazi ya kanisa kwani mi ni usher
buda utakesha ukigandwa na mbogi
ata polisi sikuizi tunakodi
mbona uko moody na wee si atuoli eei
kwa sura unaka familiar
wee ndo ulipita na shoree wa yobra
gwati kibao kwa tenje
kwani unafanya kazi pale brothel
spendi ujinga
msupa alikula ma fare ikabidii ni hale songoma
kama umenuna nuna
pesa yangu aiwezi fanya jo ucheke
wacha ni nyambe unuse (Unuse)
ii mwezi inakuja silipi
ambiaa landlordi
mwisho ni atoe keja yake kwangu (eei)
kenye nataka ndo kenye napata
kama unata baka wakanda
kuja kejani na uchore saba (eei)
Buda kaa rada
Hapa ni ukweli ma ninja wamepita na panga
Vile utafyekwa
Toka kehuti ni ka masaa ni ya curfew
Rende ishacheki
Bling kwa neck (Check)
Lappy kwa bag (Check)
Vile umedunga ushawekwa kwa magazine
Mbogi kwa choche inangoja ku kok ki magazine
CHEKI
Vijana wanataka ku dishi
(Dishi)
Akuna kakitu ndo motto
(Motto)
Copper nayo bado joto
(Joto)
After ku burn ki local
Shada za bobo na jaba ya chweza (Eii)
Ata wasupa warembo ni wezi
Uliza Budako kenye jo alifanywa