Ngori Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
(Hook)
Vile Nakam Ni Ngori
(Ngori)
Kuishi Nairobi Ni Ngori
(Ngori)
Msupa Hajanyesha Ni Ngori
(Ngori)
Landi Na Padi Ni Ngori
(Ni Ngori)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence
(Eii Eii)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence × 2
(Verse 1)
Ni Ngori Design Mi Urauka Na Taki Ya Gwai,Na Washa Ki Moja Kwa Plot,Landi Ana tense Anatoka Na Vest,Anapanda Huku Juu Ku Thigitha
Naongeza Voluuuume,
Msupa Alikuja Anacheza Na Umh,Nikona Doom Mi Uspry Warazi...
Kama Solder Mi Umalizanga Mission
Tuko Ma Balle Nairobary
Mi Ni Mercenary
Hapa atunyongangi G Umh,
Pigwa Na Goons
Ndo Maana Ana Nundu
Buda Utakataliaje Katululu
Fanya Vile Mlifanya Buda Mi uzoza Nikibanja
Gwati Mingi Ka Mix
Msupa Mbogi Jo Ina Feast
Leta Iyo Tempo Utarushwa Kwa Fence,Hapa Ngumu Jo Yu Tembea Kwa Jaws
Ka Auna Copy Buda Soma Kwa Log
Staki Platform Leta pesa Za Show.....
Hahaha
(Eeeeh It's Either Ujipange,Ama Tukupange Ama Tukupangie Kwako Eeeh MF)
(Hook)
Vile Nakam Ni Ngori
(Ngori)
Kuishi Nairobi Ni Ngori
(Ngori)
Msupa Hajanyesha Ni Ngori
(Ngori)
Landi Na Padi Ni Ngori
(Ni Ngori)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence
(Eii Eii)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence × 2
(Verse 2)
Msupa Ni Acheze Na Juanga Lakini Si Pesa (Pesa)
Vile Nakam Natesa (Tesa)
Nairobi Ni Ngumu Ku Thesha Maybe Nikuje Kwa Kesha Kama Kuna Nyesha (Nyesha)
Nipate Kejani Na Seska Mbili
Ju Ni Bandi
Jo Ameamua Ku Dedi
Pale Kwa Conner
Riffle Na Coffee Beanz
Nina Mzinga Iyo Luku Gumbaru Yooh
Ka Ni Ngori Mi Utoka Kijiko Yooh
Napendanga Shore Ana Natty Bro
Na Ka Ni Ngoma Collabo
Dangote Aniite
Nina Nyonyo Hushikisha Mbogi Ngori
Ka Si Njeri Wa Nyeri Basi Ana Scar
Weh Ni Bonge Nikuje Tubongeshane
Mi Ukua Ngori
Wanajua
Nikukanyangia
So vile mi nataka nibanje bila ata pupa,natemanga mistari wanathani Basi Ni Mini Mac
Vile mi Nakam Na Roll, Nikama Billy Mac
Fuck the Scene I do Kill for the money Bag (Geng)
Drop niggas on the Frontline like Tik Tak
She gat Booty With A bass For the Big Dawgs
Play Ball With the Gang We The Gang Bang
Fuck Niggas Ni Click Click Nikipiga Round
(Hook)
Vile Nakam Ni Ngori
(Ngori)
Kuishi Nairobi Ni Ngori
(Ngori)
Msupa Hajanyesha Ni Ngori
(Ngori)
Landi Na Padi Ni Ngori
(Ni Ngori)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence
(Eii Eii)
Ni Ngori Ni Eish
Buda Ni Uruke Kwa Fence × 2