Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Sisi sote tuwamoja
Watoto wa Baba mmoja
Tuna pendwa na Baba yetu
Twaongozwa na Baba yetu
Tuna lindwa na Baba yetu
Ali kufa msalabani
Kwa ajili yangu na wewe
Ali kufa msalabani
Kwa ajili yangu na wewe
Ndani ya Yesu, kuna furaha
Ndani ya Yesu, kuna amani
Ndani ya Yesu kuna vyote una itaji
Tupendane
Tupendane
Tupendane
Kama tunavyo pendwa na Baba
Upendo wake, niwa milele
Tupendane
Tupendane
Tupendane
Kama tunavyo pendwa na Baba
Upendo wake, niwa milele
Upendo wa Mungu
Autchagui jinsi ulivyo
Upendo wa Munngu
Autchagui watoka wapi
Ujue nau amini kwamba
Mungu, anakupenda sana
Na wewe, ukimupenda Mungu
Upendo wake uta dumu ndani yako
Ndani ya Yesu, kuna furaha
Ndani ya Yesu, kuna amani
Ndani ya Yesu kuna vyote una itaji
Tupendane
Tupendane
Tupendane
Kama tunavyo pendwa na Baba
Upendo wake, niwa milele
Tupendane
Tupendane
Tupendane
Kama tunavyo pendwa na Baba
Upendo wake, niwa milele