
Tegemea Mungu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mama siku moja
Ali niambia
Mtoto wangu tega sikio, usikie
Manena aya, niya mahana sana
Tega sikio usikie
Dunia iyi, ina mambo mengi sana
Usi zubae, wala usilale
Shetani ana zunguka
Tutafuta mioyo za watu
Ohh yeah
Siku zote za maisha yako
Tafuta Mungu
Mahana yeye njo ana weza
Siku zote za maisha yako
Kua na Mungu
Mahana yeye njo ana weza
Eh Mama Feza Rita
Pamoja na Mama Bawiri
Asante sana
Mungu awa bariki
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Kwani yeye anaweza
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Kwani yeye anaweza
Eh mkubwa Samson Mite
Pamoja na mkewake Sandrine Rebeka Mite
Eh Mungu awabariki sana
Let's Go
Ndani ya maisha yangu
Bila Mungu
Singe kua, apa nilipo
Kila kitu, unatcho
Kilete, kwa Baba
Yeye ndie, ata raisisha
Maisha yako
Ilete, itaji lako
Tegemea Mungu ata tenda
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Kwani yeye anaweza
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Tegemea Mungu
Kwani yeye anaweza
Bila kusaau
Dada Asina Rita
Dada Nyota Katere
Familia Kisose
Mungu awabariki