NEEMA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
NEEMA - ASSA JEREMY
...
oooh ooooh
heiiii yeye
oooh ooooh
(assa jeremy)
nilipokuwa nimekufa
umenifufuwa mara nyingine
nilipokuwa nimedharauliwa
umeniheshimisha
kuna walionitupilia mbali
eti sifai
ooh noo
heiyeee
walinena mengi maovu
eti nisifanikiwe
wakabonga namengine mabaya
eti nilaaniwe
umekuwa baraka
umenipa faraja
ukanipafanaka
yeeeiye yeye
baba wewe ni wa neema
wewe ni waneema
wewe ni waneema
baba wewe ni wa neema
wewe ni waneema
wewe ni waneema
kuna wale waliopata ajali
ooh wakafa umeniacha hai
wengine waliaavwa kwa mimba
ila mimi bado niko hai
eeeh
kwani mimi ni nani nisikuabudu wewe
mimi ni nani nisikuinuweee
aiiiiii
mimi ni nani yeye
mmmmmh
mke umenipa
nipa
kazi umenipa
nipa
rehema umenipa
nipa
kwani mimi ni nani
nehema umenipa
nipa
gari umenipa
nipa
jumba umenipa
nipa
mimi ni nani iii
baba wewe ni waneema
wewe ni waneema
wewe ni waneema
baba wewe ni waneema
wewe ni waneema
wewe ni waneema