Anakupenda (feat. VINSUN) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Anakupenda (feat. VINSUN) - ASSA JEREMY
...
oh nananananaa hey
Assa jeremy
Nazaki blessed
oooh noo hei
maisha yako yakiwa ya kung'ang'ana
usichoke kumwomba wewe pambana
eka imani kwake upatefaraja
maana mbele zake sisi tunafanana
yeye ni muweza utabembea
( ayee utabembea )
akinena mema utatendewa
( ayee utatendewa )
rudi acha kuwa muhuni
rudi utakuwa gudi
mbogi kwake kuna mbogi
tena safi kwake mungu utakuwa konki
hook
usiwori atakama uko kwenye ngori
atakuinuwe akutowe kwenye uhoi
kwakuwa Mungu wetu ni eloi ii *2
chorus
anakupendaa
anakupenda
anakupendaa
anakupenda
verse 2
maisha ni safari
mola ndie anapanga
ukikosa leo usijali
maana kesho utapata
alikosa ndo sote tupatepate
tupatepate
ukiwa na njaa atakupeaga mikatekate
mikate kate
Mungu wetu ni wajana waleo wakesho
habadiliki kamwe
kwa magumu pambana usije fika mwisho
atakutendea one day *2
aah rudi achakuwa muhuni
rudi achakuwa mhuni aah
rudi acha kuwa mhuni weweeeh
rudi acha kuwa muhuni
rudi acha kuwa muhuni
rudi acha kuwa muhuni wewe
hook
usiwori atakama uko kwenye ngori
atakuinuwe akutowe kwenye uhoi
kwakuwa Mungu wetu ni eloi ii *2
chorus
anakupendaa
anakupenda
anakupendaa
anakupenda
watakutusi wakuseme kwa ubaya
uchafuliwe jina uone haya
juwa ni majaribu we
utakuwa haya*2
rudi acha kuwa muhuni
rudi acha kuwa muhuni
rudi acha kuwa muhuni wewe*2