Kizembe Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
VERC
Watu wanafurahi Wana enjoy
wakati umefika wa kugonga cheers ( ooh ye!ye! ye!)
Kwa hizo dress umependeza umevutia
You look beautiful like a sky (huu! baby girl)
(Yeeeh!)
Ongeza manjonjo leo niko nawe tufurahi
Unifanye nijidai Mama weeh!
Nioneshe machejo njiwa nikamate
Tushikane niwe na wewe (hee!!)
HOOK
Kizembe Utaniua niteke kizembe
Kizembe Nichanganye kizembe,
Kizembe Utaniua niteke kizembe
Kizembe Nichanganye kizembe.
CHORUS
I LOVE YOU , I WANT YOU
I DIE WITH YOU BEBE COSE YOUR BEAUTIFUL,
I LOVE YOU , I WANT YOU
I DIE WITH YOU BEBE COSE YOUR BEAUTIFUL.
VERC
The way unavyo smile na kucheka
Unavutia My Love
Napenda unavyo Smile na kucheka unavutia
You make me fall in love
Nakupa Chance muda wako wako
Waoneshe
The way you twerk (Magic)
Shuka mpaka chini My baby girl
Niko vitu sielewei Mamito
Jinsi ulivyo Sex sex (Waoneshe)
Nazidi kuku pet pet (Niwaoneshe)
Shuka mpaka chini My baby girl
Niko vitu sielewei Mamito
Jinsi ulivyo Sex sex (Waoneshe)
Nazidi kuku pet pet (Niwaoneshe).
HOOK
Kizembe Utaniua niteke kizembe
Kizembe Nichanganye kizembe
Kizembe Utaniua niteke kizembe
Kizembe Nichanganye kizembe
CHORUS
I LOVE YOU , I WANT YOU
I DIE WITH YOU BEBE COSE YOUR BEAUTIFUL
I LOVE YOU , I WANT YOU
I DIE WITH YOU BEBE COSE YOUR BEAUTIFUL.