Enough Lyrics
- Genre:Zouglou
- Year of Release:2023
Lyrics
Kua nawe nifuraha Sikaraha
Unanifanya nichachawe
Malaika wewe mrembo weeh
Mzuri weeh Sina budi kua na wewe
Ungejua
Kwa vile ambavyo umenikaa moyoni
Sio Siri nime fall in love
Mimi ndo yule Takae apa hadharani
Niwe chanzo Cha furaha yako maishani
Usiniache njiani (My My My)
Natena ungejua
Thamani ya upendo wangu kwako
Ungenitunuku Maua yenye haurufu nzuri
Au apple
HOOK
Wakisema hunifai kwangu (ENOUGH)
Mtoto wakiswazi kwangu ( ENOUGH)
Wahali duni kama chanda na Pete niwe nawe
Wakisema hunifai kwangu (ENOUGH)
Mtoto wakiswazi kwangu ( ENOUGH)
Ukizingua Mwenzio Utaniua Utaniua kiakili
CHORUS
Kama kupenda maradhia (Sawaah)
Nibora niwe mgonjwa abadani kupona sitaki
(Tenaah ah ah ah!!) . x2
Verc
Usinifanye mfa maji
Kwa penzi lako nife kwa kutapatapa
Nifanyie dibaji
Ya kile kitabu Cha hadithi za wahenga
Ooh! Nakili siwezi
Siwezi kuishi bila we My love
Natena siwezi
Siwezi kua mbali na wewe
Mimi ndo yule Takae apa hadharani
Niwe chanzo Cha furaha yako maishani
Usiniache njiani (My My My)
HOOK
Wakisema hunifai kwangu (ENOUGH)
Mtoto wakiswazi kwangu ( ENOUGH)
Nitunzie nimewekeza maisha yangu kwako
Natena ungejua
Thamani ya upendo wangu kwako
Ungenitunuku Maua yenye haurufu nzuri
Au apple
HOOK
Wakisema hunifai kwangu (ENOUGH)
Mtoto wakiswazi kwangu ( ENOUGH)
Wahali duni kama chanda na Pete niwe nawe
Wakisema hunifai kwangu (ENOUGH)
Mtoto wakiswazi kwangu ( ENOUGH)
Ukizingua Mwenzio Utaniua Utaniua kiakili
CHORUS
Kama kupenda maradhia (Sawaah)
Nibora niwe mgonjwa abadani kupona sitaki
(Tenaah ah ah ah!!) . x2