
Wandia Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Wandia - Cheed
...
Mmmmhh
Mmh keo
Kelly on master
Wandia eh wandia oh ninadukuduku rohoni
Wandia eh wandia oh nisikilize makini
Nimiliki bodaboda penye nia pana njia buuh
Kidogo vimbogamboga najua unaumia vumilia tu
Vishilingishiligi vibanie come on
Kopa kwa mangi viunga robo tuleee come on
Penzini cha mtoto yamkini sitoi boko
Nitalilinda nitakesha popo tuuze bamihogo……….
Chorus
Usijesema vumilia