Nibebe
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Nibebe - Shaddy Koon
...
chocolate colour huyo Zaina Shepu la Kajala Macho ya China pwani mpaka bara nimesha sign up Mombasa Kampala kama pikipiki kanipa nafasi na sitisiti apandishi mishikaki kuchitichiti anapigo za kiwaki za usaliti anaaaaa Alfa na omega Romeo na Juliet kama mkeka umepata wa kubet anawalenga wanaotaka kumset minayeye goli kipa na beki Ah olalaaaaa mimi nayeye wa kufa kuzikana olalaaaaaa Nikiwa nawe ndo moyo unagandana Nibeee nibeee Kashapinda n mgongo Nibeee nibeee Kiuno chake cha congo Nibee nibeee Toka jiji hadi bongo Nibebeee nikubebeeee Nibeee nibeee Nibeee nibeee Nibeee nibeee Nibebeee nikubebeeee akitembea kama anakata kona aaah (kona kona) amefungasha huko nyuma amenona aah (nona nona) Habiti hajiedity na filter za snap chat wala Ig yuko fiti my heartbeat kama Zuchu mahaba ndindindii Halua halua nikimix na tende maua maua ufanya anipende naua naua kifo cha paremende saulasaula sibakizi hata chembe She gat ass eeh It's fantastic eeh I let you lead the way Coz najua nyuma umevimba Karungu ka mzee Ka me mwaga nyute Mwendo wa baiskeli ukifika unatua olalaaaaa mimi nayeye wa kufa kuzikana olalaaaaaa Nikiwa nawe ndo moyo unagandana Nibeee nibeee Kashapinda n mgongo Nibeee nibeee Kiuno chake cha congo Nibee nibeee Toka jiji hadi bongo Nibebeee nikubebeeee Nibeee nibeee Nibeee nibeee Nibeee nibeee Nibebeee nikubebeeee
Similar Songs
More from Shaddy Koon
Listen to Shaddy Koon Nibebe MP3 song. Nibebe song from album Nibebe is released in 2023. The duration of song is 00:02:44. The song is sung by Shaddy Koon.
Related Tags: Nibebe, Nibebe song, Nibebe MP3 song, Nibebe MP3, download Nibebe song, Nibebe song, Nibebe Nibebe song, Nibebe song by Shaddy Koon, Nibebe song download, download Nibebe MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
shaddykoon
Taking kenya music to the next level