Jealousy Lyrics
- Genre:Trap
- Year of Release:2023
Lyrics
@Vincreat Official_ BDEs Lyrics
wivu juu
Dem yake amebeba, jealousy
tuliasi ukapera, jealousy
aliomoka na kwenda, jealousy
anamaka unapendwa, jealousy
ka huna dooh hii ni love inakutoka
ka una dooh milangao inapokoka
mansion ukiishi tuna kuroga
Si juzi juzi simiti nilikoroga
Eti jela si jealousy,
ka huna Pesa jela unaenda ju ya jealousy
Lakini tutauwawa na jealousy
Lamborghini nili achiwa ka legacy
Chiwawa kwa fence ya embassy
Ku bark-bite wenzako juu ya jealousy
Sikuhizi hivi vita vya mamanzi
eti Mary kakosana na Nancy
Si wewe ulimwacha bila Mercy
sahii na muuguzanga Mercy
ma trips kule Accra,Kumasi
eti ex wako akikosa ku rank
unatafuta skish wake mnaflirt
alafu unapost ati hiyo ni prank
wakidai Manzi Yako ni flat waambie mkoa top roof mnaflirt
kwenye flat jua.. ye ni flat ka roof
roof nyumba ni duara dufu
usiwache ikuee oval oral mpararo duff
Kuff! amededi pamoja na kumedi
si alideadi
Lakini tutauwawa na jealousy
Lamborghini nili achiwa ka legacy
Chiwawa kwa fence ya embassy
Ku bark-bite wenzako juu ya jealousy
Prank ni prank lakini usiprank uko drung mbele ya polisi juu ya rank
wanasema Niko drung juu Mimi huuza drugs mbele ya akina Frank na ku brag
Hiyo tank ya drugs ndio ilifanya hao karao watutrack
ninge tag Frank tuibebee bila track suit kwa sacks hawange tu track.
jealousy ilifanya apelekwe jela
alipora mali yake juu alikuwa amelewa
Si nilimshow Buda hakuwai nielewa
toa hizo dreads bro hakuwai nielewa
ati naskia ye ni comrade wa CUEA
Si tu kifaranga hadi mwewe anapewa
ndio unafika Hadi lec amechekewa
ama ni Lake anaogelea!
Sikuhizi napewa pia
sikuli chungwa nakula pear
sikuchungwa nilikapitia
but ju tu ya pressure ya peer
jiulize Leo Yesu aki appear
Mbinguni uta appear?
social media inawapeanga kiburi
mnajifanya eti Wema-wazuri
Sepetu alituachia muhuri
tuko huru juu ya mashuja wa kaburi
alisomea majuu so ana kiburi, jealousy
Mbichi kangojea mbivu
Dem kanyolewa wivu
mwizi kakuwa mvivu
mwanangu kasomea uvuvi
na chambo katumia viwavi
liwalo na liwe liwalo
imagine wangekuwa wao
kutoa thao kwa karao to get to the embassy
ndio upatiwe your legacy
Lakini tutauwawa na jealousy
Lamborghini nili achiwa ka legacy
Chiwawa kwa fence ya embassy
Ku bark-bite wenzako juu ya jealousy
Lakini tutauwawa na jealousy
Lamborghini nili achiwa ka legacy
Chiwawa kwa fence ya embassy
Ku bark-bite wenzako juu ya jealousy
Jealousy...
THE END.