KANAFLOW Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2023
Lyrics
Kanaflow, siakabeat Kanaflow
Kanaflow,si aka song kanablow
Juu kana grow, nimewalaza kwenye floor
Si nili wa show, ex_wangu anaitwa flore
Unajifanya jemedari,juu unapenda vitu ghali
Juu hupendi Kula wali,eti Manzi yako ni mkali
Walisema human dhamani ,
juu wewe Ni mcheza kamari
Eti mola si athumani,Ni misemo za awli
Dunia haiwezi kukutunza, kutunzwa ndio kufunzwa
Inakufanya Uwe mfungwa,si mbinguni tulituzwa
Hii song inaliwaza ,Na kitambo niliiwaza
Eti michezo ya kamari, wengine tulifunzwa
Hii vibe tuna vibe vibe...vibe×2
Tujibambe hii Ni life life...life short
Pale YouTube tuko live live ..Na WiFi
Walisema Sina wife but...
Mangori ziki come, tunaomba Mungu Wa Adam
Eti yesu ali_come , kutumwagianga damu
Walisema Sina dhamani,samahani nasema Na nani
Unakosa kupiga sherehe, makelele vigelegele
Eti sherehe mpaka kuchee, kakiflow mkamate..
Kanaflow, siakabeat Kanaflow
Kanaflow,si aka song kanablow
Juu kana grow, nimewalaza kwenye floor
Si nili wa show, ex_wangu anaitwa flore
Life is free with or without a shilling, I feel free when I live because there's nothing that am billing
I gonna tag willypaul, because in life he has a goal
Khaligraph call me Jones, Trio mio I reborn
If the Lord is calling blow a trumpet or a horn
Gonna tag my fans for me, because they make me transform
Vincreat gonna rap with a flow like a comp
My mum told me never keep your hair uncombed
I promise gonna attempt,rap industry nime_come
Life is a life when I live Iam living
A leaf has a life when it lives it is thriving
Music is in my blood when I rap Iam rhyming
Vincreat gonna alive epitope gonna bind it
The music gone bitter, they see Rapah they are running
Eeh Peter took a Piper with a pizza, ooh I get it
The music gotta a hyper and the beat gonna add it....
And the beat gonna add it
Kanaflow, siakabeat Kanaflow
Kanaflow,si aka song kanablow
Juu kana grow, nimewalaza kwenye floor
Si nili wa show, ex_wangu anaitwa flore
Ooh floi,glueless,hii Ni moonset sio sunrise
Walisema Sina flow, but sai me naglow
Wakisema unabow wewe bow Na U go
Usisahau kutii bidii Tia tui Kwa tea
Kaa shule Na unacheza jua unasaka D
Bae wake amepewa sema Ghost Na Gidi
Juu madawa aliekewa haiwezi watch 3D
Si kila mtu ana drive Toyota
Si Ndege mwitu lazima ajenge kiota
Huwezi Pata badcass akiota
Utapata Sifa ukidrive Gari imported
Juu Sina pain neuron Niko pleuripotent
Phase zero abacus intiated
Haya ufanyaje huwezi crush Na matchete
Ni comp Rapah zone form intiated
Kanaflow, siakabeat Kanaflow
Kanaflow,si aka song kanablow
Juu kana grow, nimewalaza kwenye floor
Si nili wa show, ex_wangu anaitwa flore
Kanaflow, siakabeat Kanaflow
Kanaflow,si aka song kanablow
Juu kana grow, nimewalaza kwenye floor
Si nili wa show, ex_wangu anaitwa flore
Please support by following Vincreat Official on all social media
A a Big Dreams Entertainments _BDEs production