Juu Yao (feat. Vypa D) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Juu Yao (feat. Vypa D) - Mons Genius
...
Ni V ni D na me ni Vypa D
Chorus;
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
Ni kweli niko Juu yao kweli nio Juu yao
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
Verse01;
Msijione mnaniweza kisa wote tupo Bongo
Me Kvant juu ya meza halafu we ni kama gongo
Namtongoza namueleza dem bila ya uongo
Namtafuna nammeza dem bila ya mkongo
Bwana Yesu asifiwe mwenye pesa haibiwi
We unahonga bila mahesabu acha uishiwe
Me mchezaji ambaye sina sub nani Angie
Anapigo nyingi za ajabu club asiingie (Uuh!)
Pesa ninazo pata natumia na dem wako
Me ndo kwenye simu amenisave kama anko
Stress usiwe nazo hakuna cha peke yako
Labda ukifa utakipata nacho ni karibu lako
Nikiwa mwalimu nikiwafundisha hapo lazima kitaeleweka
Mimi ni noma kama unabisha mama Samia wewe atakucheka
Demu anazigo na analitingisha
Anafanya nitake kulishika
Huku na nyasi huku nina shisha
Kama ulaya nisipowapita nisipowapita
Chorus;
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
Verse02;
Hili beat linagonga ka amepiga S2kizzy
Na hizi nywele nimechonga mchicha ka wa Country Wizzy
Vibe naturally sina usingizi zimedata pisi kali
Wananiona kama Brizzy
Na msizani ninachofanya kuwa ni kazi nyepesi
Kama aliye na kithembe umwambie aseme pepsi
Nna dem wa bei mbaya bei ya Hennessey
Nawafanya vitu mbaya wanasema mi ni Messi
Mitaa imechagua yani imefanya election
Nature imechagua due to natural selection
Niwe mkuu wa wilaya mi wa mi ni fire
Labda mnikate ulimi ndo nitakuwa nimeretire
Ni kweli niko Juu yao kweli niko Juu yao
By Mons Genius