Control (feat. Vypa D) Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Control (feat. Vypa D) - Mons Genius
...
Intro;
Unanimaliza kwenye mwanga we ndo kiza Unawamaliza madanga wote unawakimbiza
Verse01
My African Queen my number one
The one I do love most in my life
She call me big daddy and I call you hunny
My love to her is bigbig like the sun
I feel your love in my empty heart unanifanya niringe
And for your love nitamwaga cash nina manoti acha nivimbe
Aah eeh unanimaliza
Aah eeh kwenye mwanga we ndo kiza
Aah eeh unawamaliza
Madanga wote unawakimbiza
Chorus;
My babe kanipa Control yeah
My babe kanipa Control yeah
My babe kanipa Control yeah
My babe kanipa Control yeah
Yeah yeah yeah yeah yeah yeah ooh lalala
Yeah yeah yeah yeah yeah yeah ooh lalalala
Verse02;
Sikia kwanza me ndo najua mapenzi nakupa vitu vyenye thamani ya benzi yani vitu motomoto vinaunguza mapepo halafu kisha nayachukua naenda kuyafungia keko
Sipendi ukinuna me napenda kuona cheko siunajua ukinuna ndo furaha yake devor
Kwasasa unaniona mbosso me nakukuna japo wote tunachana me sio rapcha wala lunya
Umenipatia shamba la kulima na kuvuna najiona sana mwamba nikikulima na ukiguna nikikulima na ukiguna then you say daddy
Serikali umeshanipa mimi fisadi
Naona ka nacheza FIFA niko na padi
Naona ka nacheza Leicester me jamii Vardy
Hee! kilomii kilomii kilometer mwili wangu wa mapenzi si wa vita naa
Chorus;
My babe kanipa Control yeah
My babe kanipa Control yeah
My babe kanipa Control yeah ( kanipa papah!)
My babe kanipa Control yeah ( kanipa papah! )
( kanipa papah! kanipa papah!)
Amenipa more control yeah
( Control control ooh control control ooh...)